Budget Pro
Ufuatiliaji wa fedha binafsi, familia, na project

Budget Pro hukusaidia kuelewa fedha zako zinaenda wapi.

Andika mapato, matumizi, wallet, bajeti, malengo, na gharama za project kwenye workspace yako binafsi. Budget Pro itakutumia report za siku, wiki, na mwezi kwa SMS na email, pamoja na reminders muhimu.

Matumizi rahisi

Maisha ya kila siku

Tumia mwenyewe kufuatilia mapato, matumizi, malengo ya akiba, na bajeti yako ya mwezi.

Familia

Invite mtu unayemuamini kwenye familia ili kila mmoja ajaze mapato na matumizi kwenye workspace moja.

Project maalum

Tumia kwa project kama ujenzi wa nyumba na uone kila gharama kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Siku 7 bure TZS 5,000 / $2 kwa mwezi baada ya trial
Budget Pro Mobile

Tumia Budget Pro popote ulipo

Pakua Android app moja kwa moja sasa. Matoleo ya Google Play na Apple App Store yanakuja hivi karibuni.

Android APK

APK salama ya kusakinisha moja kwa moja kwenye Android.

Pakua APK
Inakuja hivi karibuni

Google Play

Toleo rasmi la store linaandaliwa.

Inakuja hivi karibuni

Apple App Store

Toleo rasmi la store linaandaliwa.

Inapatikana

Offline Mode

Tumia Budget Pro hata internet ikikatika. Unachoandika kinahifadhiwa salama kwenye kifaa chako, kisha internet ikirudi kinatumwa automatic kwenye account yako bila kupotea.

Reports na reminders

Pokea muhtasari wa siku, wiki, na mwezi kwa SMS na email, pamoja na PDF reports zenye mwonekano mzuri.

Taarifa zako zinabaki kuwa zako

Taarifa zako haziingiliani na taarifa za mtu mwingine. Budget Pro haishare data zako na mtu mwingine, na mfumo huu hauna admin panel ya kuangalia fedha za watumiaji.

Ukipata shida ya technical, tuma email kwenda support@budgetpro.site.